Monday, September 30, 2013

Wadau Farida na Paul wameremeta

 Treni la harusi likiingia katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma
 Farida na Paul wakiwa wanasubiri muda wao wa kulishana viapo
 Ni wakati wa mchecheto na furaha
 Mimi...Farida Hussein Muyinga namchukua Paul Herman Kirigini kama mume wangu.....
 Mimi....Paul Herman Kirigini...naapa kwamba nitampenda nitamtunza na nitamuenz Farida Hussein Muyiga kama mke wangu wa ndoa, Eeeee Mwenyezi Mungu Nisaidie
 Paul akila kiapo
 Farida akila kiapo
 Pete hii iwe....
 Nakuvisha pete hii...
 Mmmmmmmmwwwwwwwaaaaaaaaa!
Si mnaona?? Imetoka hiyoooo....!
 Paul akisaini hati ya ndoa
 Farida akimwaga wino
 Sasa tumekuwa mwili mmoja....
 Hongera kwa maharusi toka kwa mdau Deo Mwanyika
 Furaha na vigeregere
 Haooo wanaondoka na kaLimo kao
 Ujumbe umefika
 Pozi ndani ya Sea Cliff Hotel
 Maharusi na wapambe wao
 Bi Harusi na wapambe wake
 Paul na wapambe
 Bi harusi na wapambe
 Totooooooo.....
 Maharusi na wazaa chema
 Ukumbi ulipambwa na kupambika
 Viti vinaulizana...Ah, mbona hawaji jamani....
 Jukwaa kuu
 Bonge moja la keki
 Spray kwa maharusi
 Haya na mnuso na uanze
 Baadhi ya waalikwa
 Msahau kwao mtumwa....
 Dansi la kwanza
 Champeni
 Chiaaaaazzzzzzzzzzzzzzz....
 Keki tyme
 Duh! Bonge lote hilo mshikaji....
 Haya na wewe basi
 Mmmmmmmwwwwwwwwaaaaaaaaaaaaaa........
 Wazaa chema pokeeni keki hii
 Asante baba kwa heshima uliyonipa
 Haya, Mwenyekiti wa kamati yuko wapi
 Kwa niaba ya kamati pokea keki hii ikiwa kama shukrani yetu kwenu kwa kufanikisha harusi hii
 Suprise cake: Kumbe leo ni Hepi Besdei ya kuzaliwa Paul....
 Keki kwa ajili ya Paul
 Hepi Besdei My Hazbendi  wanguu...
Dream Team: Kakamati kadooogo  lakini kamefanya makubwa!

2 comments:

vicki said...

hongereni sana Paul na Farida, loves you guys a lot saaaana

Anonymous said...

Mmependeza sana hongereni