Tuesday, June 26, 2012

DK. SHEIN AENDESHA SEMINA YA KUIMARISHA UHUSIANO BAINA YA WANASIASANA WATENDAJI KATIKA SERIKALI ZA MITAA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua semina ya siku mbili kuhusu kuimarisha Uhusiano Baina ya Wanasiasa na Watendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,nje ya Mji wa Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,alipowasili katika viwanja vya Zanzibar Beach Resort,alipohudhuria katika semina ya siku mbili ya Uongozi ya Viongozi wa Serikali za Mitaa Zanzibar,akiwa ni Mwenyekiti wa Semina hiyo iliyoanza Leo.
Sheha wa Shehia ya Kiombamvua,Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Bw, Abass Juma Hamad,akichagia suala la Kilimo wakati wa Semina ya siku mbili,juu ya Kuimarisha Uhusino baina ya Wanasiasa na Watendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyoanza leo katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,nje ya Mji wa Unguja.
Sheha wa Shehia ya Ubago,Wilaya ya Kati Unguja,Mkoa wa Kusini Unguja,Bibi Asha Abeid Suba,akichagia suala la Maji wakati wa Semina ya siku mbili,juu ya Kuimarisha Uhusino baina ya Wanasiasa na Watendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyoanza leo katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,nje ya Mji wa Unguja.
Sheha wa Shehia ya Mahonda,Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Bw Ali Haji Bakari,akichagia suala la Kilimo wakati wa Semina ya siku mbili,juu ya Kuimarisha Uhusino baina ya Wanasiasa na Watendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyoanza leo katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,nje ya Mji wa Unguja.
Baadhi ya Madiwani na Masheha wa Shehia mbali mbali za Unguja,wakiwa katika semina ya siku mbili juu ya Uongozi ya Viongozi wa Serikali za Mitaa Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,iliyofanyika leo, katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,Nje ya mji wa Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame,alipowasili katika viwanja vya Zanzibar Beach Resort,alipohudhuria katika semina ya siku mbili ya kuimarisha Uhusiano baina ya Wanasiasa na Watendaji wa Serikali za Mitaa Zanzibar,akiwa Mwenyekiti wa Semina hiyo iliyoanza Leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments: