Saturday, June 30, 2012

Banda la NSSF lang'ara Maonyesho ya Sabasaba

 Banda ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linavyoonekana katika Viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara nchini (Saba saba.)
Meneja Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akimuelekeza jambo mmoja wa Wadau wa NSSF alietembelea banda hilo kwenye viwanja vya SabaSaba.
Ofisa Mwandamizi wa Huduma za Wateja kwa Umma, Juma Kintu (kulia) akiwa katika banda la NSSF.

Ofisa Mkuu wa Mipango wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Gerald Sondo akionyesha picha za sehemu ya Mradi wa Nyumba za Makazi zilizojengwa Maeneo ya Mtoni Kijichi jijini Dar.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Theopista Muheta akimuelezea jambo mmoja wa wateja wa NSSF alietembelea Banda hilo.
Sehemu ya picha za Mradi wa Nyumba za Makazi zilizojengwa na NSSF Maeneo ya Mtoni Kijichi jijini Dar.
Makatibu Muhtasi wa NSSF,Kushoto ni Dada Pili Penda na Dada Khadija wakionyesha nyuso za furaha ndani ya Banda yao lao kwenye Maonyesho ya Sabasaba.
Meneja Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akimuelekeza jambo mmoja wa Wadau wa NSSF alietembelea banda hilo kwenye viwanja vya SabaSaba.Kushoto ni Dada Pili Penda.
Ofisa wa NSSF akionyesha picha ya Baadhi ya Majengo yaliyojengwa na NSSF katika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Sehemu ya Promosheni.
Sehemu ya V.I.P kwa wadau wa NSSF.


No comments: