Monday, October 31, 2011

ziara ya makamu wa pili wa rais wa zanzibar ubalozini Washington DC

Maafisa Ubalozi wakiongozwa na Naibu Balozi Mama Munanka(shoto) wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Mareakani na Mexico,wakijadili jambo hii ilikua kabla ya Mh.Balozi Seif Ali Idd,Makamu wa pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi,Zanzibar kuwasili Ubalozini hapo uliopo mjini Washington,DC
Kushoto ni Brigedia Jenerali Maganga akiwa na Dr Mkama wakijadili jambo.
Picha juu na chini ni Mh.Balozi Seif Ali Idd,Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akisalimiana na Naibu Balozi,Mama Munanka mara tu alipowasili Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani uliopo Mjini Washington,DC
Mke wa Mh.Balozi Seif Ali Idd,Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mama Asha Seif Idd alipowasili Ubalozini hapo,
Mh.Balozi Seif Ali Idd Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akisalimiana na Afisa Ubalozi,Dr Mkama.
Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akisalimiana na Brigedia Jenerali Maganga,Mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico.
Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akisalimiana na Afisa Ubalozi  Abbas Missana,kitengo cha Uhamiaji Ubalozini hapo.
Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akisalimiana na Afisa Ubalozi Asia Dachi.
Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akisalimiana na Afisa Ubalozi Mwafongo.
Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akisalimiana na Afisa Ubalozi,Edward Masanja.
Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akisalimiana na Afisa Ubalozi Mama Kijuu
Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akisalimiana na Afisa Ubalozi Agnes Lusinde.
Juu na chini Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akisalimiana na Watoto wa Mh.Mwanaidi Maajar ambao walikuwepo Ubalozini hapo Mahususi kwa Menyu iliyoenda shule waliyokua wamemuandalia mgeni rasmi na ujumbe wake.
Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akisalimiana na Afisa Ubalozi,Dr.Mkama.
Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akiwa na Naibu Balozi Mama Munaka wakielekea chumba cha mkutano Ubalozini hapo.

No comments: