Sunday, August 8, 2010

SHEREHE ZA SIMBA DAY ZAFANA

Naibu Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Ali Juma Shamhuna akiwa na zawadi ya jezi aliyopewa na mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rageh wakati wa Simba Day uwanja wa Uhuru leo
Uzinduzi wa uzi mpya wa Simba kwa msimu mpya ujao
Naibu Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Ali Juma Shamhuna akimpatia tuzo meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager George Kavishe kwa kampuni yake ya TBL inayodhamini Simba na Yanga
Wachezaji wa Simba na Express ya Uganda wakiingia
uwanjani kumenyana. Matokeo yalikuwa 0-0



Wanenguaji wa Twanga wakipepeta
Twanga Pepeta wakiwajibika siku ya Simba Day
Kiduku na Twanga pepeta...
Twanga wakijimwayamwaya uwanjani
Mshambuliaji wa Sayari (shoto) akijaribu kumpita mchezaji wa Simba Queens Timu ya wanawake ya Sayari
Simba Queens
Simba Queens wakipiga jalamba
Juu na chini ni mchezo kati ya Simba SC na Express ya Uganda. Matokeo ni bao 0-0














No comments: